National anthem of Tanzania

1. Mungu ibariki Afrika,
Wabariki viongozi wake,
Hekima, umoja na amani,
Hizi ni ngao zetu,
Afrika na watu wake,
‖: Ibariki, Afrika :‖
Tubariki, watoto wa Afrika.

2. Mungu ibariki Tanzania,
Dumisha uhuru na umoja,
Wake kwa waume na watoto,
Mungu ibariki,
Tanzania na watu wake,
‖: Ibariki, Tanzania :‖
Tubariki, watoto wa Tanzania.

‹ back to Africa